

Green Crescent inashiriki katika shughuli
za kukuza uhamasishaji wa uraibu wa
madawa ya kulevya ulimwenguni na katika
nchi yetu. Kama njia ya kushugulikia jambo
hili, Green Crescent ilikuwa mwenyeji wa
awamu ya tatu ya Mashindano ya Katuni,
ambamo umakini unawekwa kwenye
uraibu madawa ya kulevya kupitia lugha
ya pamoja ya katuni.
GREEN CRESCENT YASEMA
“ACHA” URAIBU WA MADAWA
YA KULEVYA KUPITIA
UCHORAJI KATUN
K
atika kutekeleza shughuli
za kitaifa na za kimataifa
zinazolenga
kupambana
na
uraibu wa madawa ya kulevya,
Green
Crescent
iliandaa
mashindano ya 3 ya Katuni ya
Green Crescent ya kimataifa
kama njia ya kuhamasisha watu,
haswa vijana, kupambana na
uraibu wa madawa ya kulevya
duniani kote. Mashindano hayo
yaliwavutia wachoraji katuni 414
kutoka nchi 51, na kufanyika chini
ya mada “Athari za Uzuiaji wa
Michezo kwa uraibu wa madawa
ya kulevya”, ambayo jumla ya
katuni 787 ziliwasilishwa. Sherehe
ya kutoa tuzo hiyo ilihudhuriwa
kwa shauku kubwa katika makao
makuu ya Green Crescent katika
ikulu ya Sepetçiler jioni ya tarehe
21 Juni, 2019, wakati wachoraji
katuni walioshinda walitunukiwa
tuzo zao.
Wachoraji Katuni 414 kutoka
nchi 51 waliwasilisha kazi 787
Tuzo
ya
mshindi
kutoka
miongoni mwa wachoraji katuni
414 kutoka nchi 51, na katuni 787
zilizowasilishwa zinazoonyesha
uhusiano kati ya uraibu wa
madawa yakulevya na michezo
kwa njia ya vichekesho au
komedia, ilitunukiwa kwa Aşkın
Ayrancıoğlu kutoka katika nchi
ya Uturuki. Washindani watano
walikuwa; Satılmış Akın kutoka
Uturuki, Amir Khaleghi kutoka
Iran, Khodayar Naroei kutoka
Iran, Bradya Izquierdo Rodriguez
kutoka Cuba na Antonio Claudio
Gomes kutoka Brazil. Sherehe
ya kutunukia washindi tuzo
ilihudhuriwa na Metin Peker,
Mwenyekiti wa Chama cha
Wachoraji Katuni, pamoja na
mchoraji Katuni Şevket Yalaz.
Paulo Roberto Caminha De
Castilhos Franca, Balozi Mkuu wa
Brazil, alikubali zawadi kwa niaba
ya msanii wa Brazil. Hotuba
ya ufunguzi ilitolewa na Prof.
Peyami Çelikcan, Mwanachama
wa Bodi ya Green Crescent na
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Şehir.
Uhamasishaji kwa kutumia
lugha ya pamoja ya vichekesho
Akiongea katika sherehe ya
utoaji wa tuzo, Rais wa Green
Crescent Prof. Mücahit Öztürk
alisema kuwa wao kama Green
Crescent, wanashiriki katika
Claudio Antonio Gomes - Brazil
Khodayar Naroei -Iran
Brady Izquierdo Rodriguez - Cuba
60