

Shina la Tanzania Green Crescent
• Shina la Tanzanian Green Crescent
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Uvutaji sigara ni mojawapo ya ulevi
wa hatari zaidi nchini Tanzania.
· Shughuli za shina la Green Crescent
la Tanzanian ni pamoja na:
- Sherehe za kufungua vyama vya
Green Crescent katika shule za
sekondari mbalimbali kisiwani
Unguja.
- Sherehe wa Wiki ya Green Crescent
Week zinazofanyika kwa shule
mbalimbali.
Shina la Green Crescent la
Marikani – Kamati ya kitaifa
ya kuimarisha Ushirikiano wa
Uturuki na Marikani
• Shina la Green Crescent la Marikani
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Utumiaji madawa ya kulevya ni
mojawapo ya ulevi wa hatari zaidi
katika jamii ya kiMarikani.
· Shina la Green Crescent lina
shughuli zifuatazo nchini
Marikani:
- . Mkutano wa kusambaza habari
uliohuduriwa na kamati ya Uturuki
ya ofisi ya Ubalozi jijini New York.
Shina la Green Crescent nchini
Jordan – Chama cha kupinga
madawa ya kulevya nchini Jordan
الجمعية الأردنية لمكافحة المخدرات
• Shina la Green Crescent la Jordan
lilianzishwa mwaka wa 2019.
• Uvutaji sigara na madawa ya
kulevya ndio ulevi wa hatari zaidi
nchini Jordan.
· Shina la Green Crescent nchini
Jordan linafanya kazi zifuatazo:
- Kuandaa warsha ya uhamasishaji
juu ya kulewa iliyohudhuriwa
na Shirika la Afya la Dunia na
mashirika mbalimbali.
Shina la Green Crescent la
Thailand – Shirika la Madaktari
wa Kiislamu
• Shina la Green Crescent la Thailand
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Uvutaji sigara ni mojawapo ya ulevi
wa hatari zaidi nchini Thailand.
· Shughuli za shina la Green
Crescent la Thailand ni pamoja na:
- Maandalizi wa warsha kuhusu
“Kukinga Utumiaji wa Madawa ya
Kulevya katika Jamii”
- Maandalizi ya kampu ya Viongozi
Vijana dhidi ya utumiaji madawa ya
kulevya
- Kutoa mafunzo kwa wakufunzi juu
ya kulewa
- Maandalizi wa warsha kuhusu
uvutaji sigara
Shirika la Green Crescent la
Uganda
• Shina la Green Crescent la Uganda
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Uvutaji sigara ni mojawapo ya ulevi
wa hatari Zaidi nchini Uganda.
· Shughuli za shina la Green
Crescent la Uganda ni pamoja na:
- Makongamano na warsha za
kukinga dhidi ya ulevi.
- Maandalizi ya mkutano wa kieneo
kuhusu mada “Athari za Utumiaji
madawa ya kulevya katika
kusambazwa kwa Ukimwi”.
- Kushiriki kwenye Mkutano wa
36 wa Baraza la muunganowa
mashirika ya Kiislamu (FIMA) na
“kongamano la nne la Kimataifa la
Viongozi wa Kiislamu la Ukimwi”
-
Chama cha Green Crescent nchini
Palestine
• Shina la Green Crescent la Palestine
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Utumiaji madawa ya kulevya ndio
ulevi wa hatari Zaidi katika jamii ya
Palestine.
· Shughuli za shina la Green Crescent
la Palestine ni pamoja na:
- Kuandaa warsha mbalimbali kuhudu
ulevi.
- Ushirikiano na wizara zinazohusika.
- Kutoa mafunzo kwa familia za
wagonjwa wa ulevi wakati wa
matibabu.
Shina la Green Crescent la
Pakistan
• Shina la Green Crescent nchni
Pakistani lilianzishwa mwaka wa 2015.
• Uvutaji sigara na hemp ndio ulevi wa
hatari Zaidi nchini Pakistani. Pombe
ni marufuku nchini humo isipokuwa
wale wenye leseni maalumu.
· Shina la Green Crescent la Pakistani
likafanya kazi zifuatazo:
- Kushiriki kwenye mkutano wa
wanahabari wa kutoa taarifa na
kuhamasisha jamii kwenye Siku ya
Kuacha Sigaraya Dunia.
Shina la Green Crescent la Afrika
Kusini So
• Shina la Green Crescent la Afrika
Kusini lilianzishwa mwaka wa 2018.
• Utumiaji madawa ya kulevya ndio
ulevi wa hatari Zaidi katika jamii ya
Afrika Kusini.
· Shughuli za shina la Green Crescent
nchini Afrika Kusini ni pamoja na:
- Maandalizi ya “Siku za Kuhamasisha
Jumuiya” ili kutoa mafunzo
kuhusu namna ya kuhamasisha na
kuelimisha watu juu ya ulevi.
56