

Shina la Green Crescent nchini
Afghanistan
• Shina la Green Crescent la
Afghanistan lilianzishwa mwaka
2016
• Utumiaji madawa ya kulevya ni
mojawapo ya ulevi wa hatari zaidi
unaoikumba jamii ya Afghanistan.
· Kazi za Shina la Green Crescent la
Afghanistan ni pamoja na:
- Mkutano wa kuhamasisha watu
juu ya mpango wa kuzuia kulewa
unaotendeka katika shule za
sekondari.
- Linawasilisha mafunzo haya ya
uzuiaji wa kulewa kwa wataalam
wa mambo ya dini.
Albania Green Crescent -
Fondacioni Yesilay
• Shina la Green Crescent nchini
Albania lilianzishwa mwaka 2016
• Kulewa pombe, sigara na madawa
ni mojawapo ya vilevyo vya hatari
vilivyopo nchini Albania
· Shughuli za Shina la Green
Crescent nchini Albania ni pamoja
na:
- Kutoa mafunzo juu ya njia za
kupambana na utumiaji madawa,
sigara na pombe katika shule.
- Mikutano ya kushauri kutoka kwa
Jopo la Green Crescent kuhusu
miradi mipya.
Green Crescent Australia
• Green Crescent Australia
lilianzishwa mwaka 2014.
• Utumiaji madawa ya kulevya ni
mojawapo ya ulevi wa hatari zaidi
katika jamii ya Australia.
· Shughulia za shinala Green
Crescent Australia ni pamoja na:
- Kutoa mafunzo kwa familia kuhusu
hatari za utumiaji madawa ya
kulevya.
- Ushirikiano na Munisipali ya
Hume katika mapambano dhidi ya
utumiaji madawa ya kulevya.
Azerbaijan Green Crescent -
“Zererli Verdişlere Qarşı” İctimai
Birliyi
• Shina la Azerbaijani Green Crescent
lilianzishwa mwaka 2016.
• Kuvuta sigara na madawa ya
kulevya ni mojawapo ya ulevi wa
hatari zaidi unaoikumba jamii ya
Azerbaijan.
· Shughuli za Azerbaijani Green
Crescent ni pamoja na:
- Warsha yenye mada “Mwelekeo
kutoka Teknolojia kwenda
Kupumbaa”, ambayo ilihamasisha
juu ya uwezo wa teknolojia wa
kuleta madhara kwa watoto.
- Kuandaa kongamano la kupamba
la watoto.
- Kuandaa mechi ya kandanda
kati ya shina la Azerbaijani
Green Crescent na shina la Green
Crescent la Uturuki.
- Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi
na wataalamu kutoka Kituo cha
Mafunzo na Ushauri cha Green
Crescent mjini Baku, Azerbaijan.
- Mkutano uliokuwa kati ya Shina
na Wizara ya Afya ya Azerbaijan
kuhusu mradi wa kifaa cha
kutumia kwenye simu kinachoitwa
“Acha Kuvuta sigara”.
Green Crescent Bangladesh
• Shina la Bangladesh Green
Crescent lilianzishwa mwaka 2016.
• Utumiaji madawa ya kulevya
ndio ulevi wa hatari zaidi nchini
Bangladesh.
· Shina la Bangladeshi Green
Crescent linatekeleza shughuli
zifuatazo:
- Mipango ya uhamasishaji
zinazoandaliwa wakati wa Wiki ya
Green Crescent.
- Mipango ya uhamasishaji
inayoandaliwa Siku ya Kimataifa ya
Ukimwi.
MASHINA YA KITAIFA
YA GREEN CRESCENT
YAONGOZA VITA DHIDI
YA UTUMIAJIMADAWA YA
KULEVYAN DUNIANI
Mashina ya Kitaifa ya Green
Crescent, yaliyoanzishwa
na shirika kuu za Green
Crescent, yanatoa mcango
mkubwa katika vita dhidi
ya kulewa duniani kote
kupitia taratibu zilizoundwa
na kukazana kadri ya
uwezo wake. Mashina ya
kitaifa ya Green Crescent
yanaanzisha mipango ya
kupambana na kulewa
katika nchi husika, na
kusambaza kazi na miradi
ya shirika la green Crescent
la Uturuki kwenda duniani
kote.
52