

MSAADA WA KIUSHAURI KUTOKA
KWA SHIRIKA LA GREEN CRESCENT
KWA MASHIRIKA YASIYO YA
KISERIKALI
Mpango wa ushauri utatekelezwa; ambapo mashirika ya taifa ya
Green Crescent yenye uzoefu mkubwa na mashirika mengine yasiyo ya
kiserikali yanayoshiriki katika mapambano dhidi ya uraibu wa madawa
katika uwanja wa kimataifa, watayasaidia kukuza uzoefu wao, yaani,
wa mashirika mapya ya taifa ya Green Crescent na mashirika mengine
yasiyo ya kiserikali ambayo yanapambana dhidi ya madawa ya kulevya.
Green Crescent inakaribisha
wanafunzi kutoka nchi 8 tofauti
Chini ya Mpango wa Kimataifa wa
Ukufunzi, Green Crescent iliwapa
wanafunzi wa sayansi ya kijamii
kutoka nchi nane tofauti nafasi
ya kujiunga na mpango wao wa
ukufunzi.Wanafunziwalijiandikisha
katika mpango huo kutoka Serbia,
Bosnia & Herzegovina, Bulgaria,
Moroko,
Lebanon,
Kyrgyzstan,
Azerbaijan
na
Indonesia,
na
walipata fursa ya kufanya ukufunzi
katika makao makuu ya Green
Crescent. Wakati wakiendelea na
mafunzo yao, walipata ujuzi kuhusu
jitihada za kupigana dhidi ya ulevi
wa madawa na walipata nafasi
ya kuhudhuria kozi za mafunzo
katika Vituo vya Ushauri vya Green
Crescent na Mpango wa Uturuki wa
Mafunzo ya Kuzuia Ulevi wa Madawa
(TBM), wakati pia wakishiriki katika
kambi na watu wenyekujitolea.
Msaada wa kitaalamu kwa
vikundi tofauti vya kazi
Programu huo wa muda mrefu
unakusudiwa kuwahimiza watu
kutoka
vikundi
tofauti
vya
wafanyikazi
ambao
watafanya
kazi kama wataalamu katika ulevi
wa aina mbalimbali ili kuchangia
katika vita dhidi ya ulevi wa
madawa. Green Crescent inalenga
kuendelea na Mpango wa Kimataifa
wa Ukufunzi na kupanua mawanda
yake katika kipindi kijacho.
K
wa kufanya jukumu kubwa duniani
katika
upambanaji
wa
madawa
ya kulevya, shirika la Green Crescent
linaanzisha mpango wa ushauri ili
mashirika ya taifa ya Green Crescent
yanayopambana na madawa katika uwanja
wa dunia nzima yanaweza kujadiliana na
kupeana mawazo na mashirika mapya ya
Green Crescent na mashirika mengine
yasiyo ya kiserikali yanayojishughulisha
katika uwanja huu. Mpango wa kutoa
mashauri wa kujitolea unachukuwa muda
wa mwaka mmoja na unalenga kukuza
uhusianowamuhimu kati ya shirika la taifa
la Green Crescent na mashirika mengine
yasiyo ya Kiserikali. Mashirika mapya ya
taifa ya Green Crescent yanayofanya kazi
chini ya usimamizi wa kimataifa wa Green
Crescent yaani (IFGC) pamoja na mashirika
mengine ya kimataifa yasiyo ya kiserikali
yanayopambana na uraibu yataweza
kupambana na madawa ye kulevya yakiwa
imara wakifnya na shirika lenye uzoefu
mkuu la mashirika ya taifa ya Green
Crescent.
Mtandao imara wa kimawasiliano
Kupitia mpango huu, Mashirika ya
kimataifa yasiyo ya serikali, yatakuwa na
bahati kujifunza kutoka kwa m s h a u r i
ambaye ni shirika ya taifa ya Ushauri
jambo ambalo linaweza kusaidia katika
mpango wa uundaji utakaowaruhusu
kutimiza malengo yao katika upambanaji
na wa madawa ya kulevya. Mashirika
haya yataweza kuomba usaidizi kutoka
kwa mshauri na kuomba usaidizi kuhusu
jinsi ya kutumia taarifa hiyo. Mpango huu
unatoa ushauri mzuri kuhusu miradi au
shughuli mahsusi yakiruhusu watu binafsi
kujenga ushirikiano imara na uwanja wa
ubingwa wao..
Usaidizi katika Uongozi na Mafunzo
Wanachama wapya wa IFGC na mashirika
ya
kimataifa
yasiyoya
kiserikali
yanayojishughulisha na upambanaji na
uraibu wa madawa yanaweza yakafaidika
kutokana na mpango huu wa Ushauri.
Mashirika haya yasiyo ya Kiserikali,
yanaweza kupata usaidizi kutoka kwa
Mshauri wake ili kuchukua uwajibikaji wa
kutoa usaidizi mwema uwezekanao, kutoa
malengo imara na kubainisha matokeo
yanayotarajiwa.
Mpango unatoa wasaa kwa Mashirika
Mapya ya taifa ya Green Crescent and
Mashirika mengine yasiyo ya Kiserikali
yanayojihusisha na mapambano dhidi
ya uraibu wa madawa ya kulevya kwa
kuyaruhusu kuimarisha ujuzi wao wa
Uongozi na kufundisha na kusaidia
pakubwa katika ukuzaji weledi wa watu
wanaoshiriki.
51