

Wiki ya Green Crescent yasheherekewa na sherehe nchini Uturuki
na duniani kote. Katika ulimwengu wa Green Crescent- eneo la
tamasha lilijengwa Istanbul Ujumbe ulisambazwa ikiwa na lengo
la kuhamasisha jamii kuhusu hatari ya kutawaliwa na/uraibu wa
madawa ya kulevya. Wiki ya Green Crescent ilisheherekewa na
matukio yaliyofanyiwa na Jamii za kitaifa za Green Crescent katika
nchi kama vile Bangladesh, Bulgaria, the Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo, Tanzania na Zimbabwe.
WIKI YA GREEN CRESCENT
YASHEHEREKEWA KWA FURAHA
DUNIANI KOTE
W
iki
ya
Green
Crescent
husheherekewa tarehe 1-7 Marchi
kila mwaka na mwaka huu, Green
Crescent ilisherehekea “ Dunia ya Green
Crescent katika uwanja wa Kadıköy
huko Istanbul kudokeza kampni zake za
uhamasishaji. Sherehe zilifanywa siku
moja na Jamii za Green Crescent za taifa
za nchi kama vile: Bangladesh, Bulgaria,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
Tanzania na Zimbabwe kuadhimisha
Wiki ya Green Cresent. Mwaka huu
pia, Green Crescent ilizindua kempeni
ijulikanayo kama; “Nina sababu ya
kuwa
mtetezi
wa
Green
Crescent”
kuazimisha wiki
hii ya kipekee.
W a k a t i
wa Wiki ya Green Crescent, semina
za glasi, sanaa ya kutengeza sanamu
kwa kutumia karatasi yaani origami
na katuni, zilifanyika katika Dunia ya
Green Crescent iliyokuwa mwenyeji wa
maonyesho, mabango yenye ujumbe,
shughuli za uhamasishaji kama vile;
maonyesho ya hatari za uraibu au
kutawaliwa na tekinolojia ya kuonyesha
filamu ya picha za kubuni (Virtual
Reality (VR) technologies ) Wiki ya Green
Crescent ilisherekewa na shauku sio tu
katikamji wa Istanbul lakini kote nchini
Uturuki; kwa sherehe zilizoandaliwa na
matawi ya Green Crescent.
Watu
mashuhuri
wanaochukuliwa
kama mfano wa kuigwa katika
jamii, haswa miongoni mwa watoto,
walishiriki
pamoja
na
watoto,
wanafunzi wa vyuo vikuu na washiriki
katika jukwaa la Green. Cemay Arslan,
mtangazaji wa redio na mshabiki wa
zamani wa Green Cresent, alisisitiza
kwamba ilikuwa inawezekana kushiriki
na watu wengine bila kuingizwa katika
uraibu wa kutumia madaya ya kulevya
Baadaye, Erkan Karaca, mshonaji
wa sare za klabu ya mpira wa kikapu
Timu A ya wanaume aliwaeleza watu
waliokusanyika; vijana na watoto,
kuhusu namna alivyopambana dhidi ya
uraibu wa pombe na sigara tangu utoto
wake.
Shirika La Green Crescent Lina
Uwezo Wa Kuishauri Duniani
Kwa sababu Green Crescent ndilo
shirika lisilo la kiserikali la kipekee
duniani linalopambana na aina 5 za
uraibu wa madawa ya kulevya, Meneja
mkuu wa Green Crescent Sultan Isik
alisema, “Green Crescent ni Shirika
46