

wa hali ya juu kutokana na vile ilivyo
vigumu kufanya vipimo pamoja na
kupata sampuli, watumiaji pombe
ni wachache. Utafiti wa tathmini
ya Sera wa Shirika la Kimataifa la
Kudhibiti Pombe ndio utafiti wa
kwanza kabisa wa kimataifa kuhusu
utumiaji na sera ya pombe. Utafiti huu
unatumia taratibu za kiwango cha juu
zilizotungwa na wataalamu, na nchi
nyingine zina uhuru wa kujiungamradi
huu na kutumia taratibu zilezile. Lengo
la jumla ni kupima athari za sera za
kudhibiti pombe za kitaifa.
Ushahidi unaonyesha kwamba sera
za kudhibiti Pombe, kwa mfano,
Kudhibiti
Bei,
znafaulu
katika
kuzuia athari chanya kama ajali za
barabarani zinazosababishwa na ulevi.
Lakini, kundi kubwa la nchi maskini
hazichatunga sera za pombe za kitaifa.
Mashirika yasiyo ya kiserikali yana
jukumu gani katika vita dhidi ya
utumiaji pombe?
Jukumu la mashirika yasiyo ya
kiserikali ni la aina mbili: Kushinikiza
utekelezaji wa sera za kudhibiti pombe
zilizotungwa kwa kutegemea utafiti, na
kuhamasisha na kuwezesha makundi
ya watu ili wasababishe mabadiliko
yanayotamaniwa.
Utetezi wa sera zilizotungwa kwa
kutegemea
utafiti
ungewezekana
iwapo ushahidi wa kuwepo kwa
matatizo namasuluhisho unapatikana.
Utafiti mwingi kuhusu utumiaji pombe
ulifanyika nchi za Ulaya na Marikani,
na huenda hauwezi kutegemewa
kila wakati katika miktadha fulani.
Ushirikiano na vyuo vya nchini
unahitajika ili kukusanya ushahidi wa
nchini unaoweza kutegemewa zaidi.
Una maoni gani kuhusu shirika la
Green Crescent na jitihada zake
katika jambo hili?
Shirika la Green Crescent lilianzishwa
karne moja iliyopita kuzuia kusambaa
kwa utumiaji pombe katika jamii
ambayo utumiaji pombe ulikuwa
mdogo. Shirika la Green Crescent
linashikilia sera ya “hakuna kiasi cha
pombe ambacho kinaleta manufaa”,
ambayo inalingana na ushahidi uliopo
sasa kuhusu madhara yanayohusiana
na utumiaji pombe.
Nchi zenye hali sawa ya utumiaji pombe
kama ya nchi ya Uturuki zinaweza
kukumbana na changamoto sawa
katika kukushanya data zautumiaji
pombe, utekelezaji wa utafiti kuhusu
pombe na masuluhisho ya kisekta
ambayo
yanaweza
kusababisha
mikinzano baina ya watengenezaji
pombe. Nchi hizi zinafaa kushirikiana
ili kutatua changamoto hizi kupitia
kulinganisha tajriba na kilammoja
kupatamafunzo kutoka kwamwingine.
Shirika la Green Crescent likokatika
nafasi mwafaka na pia lina mtandao
mzuri wa kuimarisha ushirikiano
kamahuo na kuongoza miradi kama
hii.
David Vela - Uhispania
Kulingana na tafiti
zilizofanywa, magonjwa
yanayotokana na
utumiaji pombe duniani
yanaongezeka sambamba
na ongezeko la kiasi cha
pombe kinachotumika.
45