

lisilo la Kiserikali linalopambana na
uraibu wa madawa ya kulevya. Ni
kama mfano wa mti ambao mizizi yake
hupenya aridhini na kuingia ndani
zaidi na na kujitahidi hadi sasa kuota
majani na matunda mapya. Harakati
za Green Crescent zilianzishwa tarehe 5
Marchi mwaka 1920 na watu 30 wenye
busara waliotabiri uharibifu ambao
madawa ya kulevya yangesababishwa
baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia yaani
(WHO) Uwanja madawa ya kelevya wa
kwanza tuliopambana nao ulikuwa
uraibu wa pombe lakini sasa, Green
Crescent ndilo shirika la kipekee
linalopambana na aina 5 za uraibu wa
madawa ya kulevya ikiwemo pombe,
tumbaku, madawa, uchezaji kamari au
kubahatisha na teknolojia. Pamoja na
kituo cha ukarabati cha Green Crescent
kuanzishwa haswa kwa nchi yetu na
Green Crescent baada ya uchunguzi wa
vituo kama hivi duniani, tumeanzisha
mifano anwai ya kupambana na uraibu
wa madawa ya kulevya. Ningependa
kusaidia kila mtu kila mtu ambaye
amechangia”
Huduma ya Ushauri na Usaidizi wa
Kiakili wa Green Crescent
Akisema kwamba hatua ya kwanza
katika mapambano dhidi ya uraibu
wa madawa ya kulevya ilikuwa tayari
imechukuliwa kwa kuanzisha Kituo cha
Ufundishaji na Ushauri (YEDAM) Green
Crescent, ambacho kilikuwa mfano wa
kuigwa wa shirika nchini, Meneja Mkuu
Işık alisema kwamba mpaka sasa, zaidi
ya watu 50,000 walikuwa wamekifikia
Kituo cha Ufundishaji na Ushauri cha
Green Crescent (YEDAM) “Kwa sababu
ya kutokuwepo kwa uratibu wa pamoja
kwa utoaji wa usaidizi wa saikolojia ya
akili kwawaraibuwamadawayakulevya
katika nchi yetu, na baada ya kuzitalii
njia bora za kutenda kazi kutoka duniani
kote, tulianzisha Kituo cha Kufundisha
na Ushairi cha Green Crescent kama
kituo cha wagonjwa kupewa matibabu
bila kulazwa hospitalini cha kipekee
nchini Uturuki. Kupitia vituo vyetu,
wataalam wa seikolojia ya akili pamoja
na wafanyakazi wa Umma hutoa
huduma za Ushauri na ukarabati kwa
watawaliwa/ waraibu wa madawa
ya kulevya na familia/jamaa zao.
Tunafanya sherehe wakati wa semina
za YEDAM, tuzolianzisha ili kutoa
msaada kwa waraibu au watawaliwa wa
madaya ya kulevya ambao wamefikia
hatua fulani katika matibabu yao,
kwa kuwapa ustadi unaohitajiwa na
kazi mbali mbaliIkumbukwe kwamba,
kwa miaka mitatu iliyopita, takwimu
zimehakikisha mahitaji ya shirika kama
hilo katika nchi yetu. Sasa tunapanga
kufungua ofisi za YEDAM nchini kote
tukiwana kituo kimoja katika kila
mkoa.”
Ushirikiano umepanuliwa
Akisema kwamba kifaa muhimu katika
mapambano ya Green Crescent dhidi ya
uraibu wa madawa ya kulevya katika
majukumu ya kutibu na kuhamasisha,
Meneja Mkuu Işık alisema kwamba
walikuwa wakishirikiana na mashirika
mengi ili kuhakikisha kwamba juhudi
zao wafanyazo zinasambazwa kwa
umma. “Kwa mfano, tumewasilisha kozi
nyingi kwa zaidi ya washauri wa shule
800 kama wakufunzi wa TBM na kozi
za watekelezaji kwa washauri 32,000
wa shule chini ya Mpango wa Udhibi
wa uraibu wa madawa nchini Uturuki
(TBM) katika ushirikiano na Wizara
ya Elimu ya TaifaHii inamaanisha
kwamba,kila
tunaweza
kuwafikia
wanafunzi wapatao milioni 10 na watu
wazima milioni mbili kila mwaka.
Juhudi nyingine ushirikiano ni ile
ijulikanayo kama zana tumizi ya Green
Detector tuliyounda pamoja na Wizara
ya Afya, ambayo ni zana tumizi ya simu
(APP) inayolenga kupunguza ukiukaji
wa kanuni wa marufuku ya uvutaji wa
sigara hadharani na ndani ya nyumba
na kuvuta sigara kazini na wateja au
wafanyabiashara. Zana tumizi ya simu
inaendelea
kuhamasisha
ukiukaji
kanuni za uvutaji sigara. Ikiundwa
kuwalinda raia wetu na kuwahamsisha
juu ya haki zao za kisheria, Green
Detector huruhusu watumiaji wake
kutuma taarifa kwa kuchagua jina la
mahali pa kazi kwa kubonyeza kidude
mara moja tu”
Kupitia vituo vyetu,
wataalam wa seikolojia ya
akili pamoja na wafanyakazi
wa Umma hutoa huduma
za Ushauri na ukarabati
kwa watawaliwa/ waraibu
wa madawa ya kulevya
na familia/jamaa zao.
Tunafanya sherehe wakati
wa semina za YEDAM,
tuzolianzisha ili kutoa
msaada kwa waraibu au
watawaliwa wa madaya ya
kulevya ambao wamefikia
hatua fulani katika
matibabu yao, kwa kuwapa
ustadi unaohitajiwa na kazi
mbali mbaliIkumbukwe
kwamba, kwa miaka
mitatu iliyopita, takwimu
zimehakikisha mahitaji ya
shirika kama hilo katika
nchi yetu. Sasa tunapanga
kufungua ofisi za YEDAM
nchini kote tukiwana kituo
kimoja katika kila mkoa.
47