

Cyprus Green Crescent – Chama
cha Kuzuia na kutoa matibabu
kwa waathiriwa wa ulevi nchini
Cyprus
• Shina la Green Crescent la Cyprus
lilianzishwa mwaka 2014.
• Uvutaji sigara ni mojawapo ya ulevi
wa hatari Zaidi nchini
· Shughuli za shinala Green Crescent
la Cyprus ni pamoja na:
- Kuandaa mipango ya kutekelezwa
chini ya sharia ya ushirikiano
baina yake na shina na Cypus
Kaskazini la Green Crescent.
- Kusambaza maandishi ya
kuhamasisha juu ya ulevi wa sigara
katika sherehe mbalimbali.
Chama cha Green Crescent nchini
Kenya
• Shina la Green Crescent nchini
Kenya lilianzishwa mwaka wa 2015.
• Uvutaji sigara, utumiaji madawa na
Kamari ya mtandaoni ndio ulevi wa
hatari Zaidi nchini Kenya.
· Shughuli za shina la Green
Crescent nchini Kenya ni pamoja
na:
- Kozi za uhamasishaji dhidi ya ulevi
zilitekelezwa.
- Ushirikiano na Vyama na Mashirika
mbalimbali.
Shina la Macedonia Green
Crescent - Zdruzhenie Jeshilaj
Tetovo
• Shina la Green Crescent la
Macedonia lilianzishwa mwaka wa
2017.
• Sigara ni mojawapo ya hatari
kubwa za ulevi nchini Macedonia.
Shina la Green Crescent la Kongo
• Shina la Green Crescent la Kongo
lilianzishwa mwaka wa 2014.
• Uvutajo sigara za utumiaji madawa
ni mojawapo ya hatari kubwa
Zaidi za ulevi nchini jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo.
· Shughuli za shina la Green
Crescent la Kongo ni pamoja n:
- Warsha za uhamasishaji kuhusu
ulevi wa sigara shuleni mjini
Lumumbashi kama shughuli
mojawapo ya Wiki ya Green
Crescent.
- Hotuba za uhamasishaji kwa
madereva wa taksi na waendeshaji-
baiskeli kuhusu uvutaji sigara.
Kyrgyzstan Green Crescent - “Çaşıl
Ay Koomu” Derneği
• Shina la Green Crescent la
Kyrgyzstan lilianzishwa mwaka wa
2018.
• Ulevi wa pombe ndiyo mojawapo
ya ulevi wa hatari zaidi nchini
Kyrgyzstan.
· Shughuli za shina la Green
Crescent la Kyrgyzstan ni pamoja
na:
- Kuandaa Maonyesho ya Vigorogosi
ya Kimataifa ya Green Crescent
katika vyuo vikuu mjini Bishkek.
- Kuandaa ziara za matembezi.
- Kuandaa ziara ya kuendesha
baiskeli.
- Kushiriki kwenye mashindano
yam bio ya Coca Cola pamoja na
watumishi wa kujitolea.
- Wasilisho lililotolewa kuhusu
Mpango wa Kielimu wa Kupigana
na Ulevi wa Uturuki kwa Wizara ya
Elimu na mamlaka nyingine za sifa.
- Kutafsiri na kutumia vijitabu vya
shule za sekondari kwa ajili ya
Mpango wa Kielimu wa Kupigana
na Ulevi nchini Turkey.
Shina la Kosovo Green Crescent -
Kosova Yeşilay Cemiyeti
• Shina la Kosovo Green Crescent
lilianzishwa mwaka wa 2015.
• Uvutaji sigara ni mojawapo ya ulevi
wa hatari nchini Kosovo.
· Shughuli za shina la green
Crescent la Kosovo ni pamoja na:
- Vitendo vya utangazaji. Shina
lilihusika kwenye harakati za
usimamizi na utumishi wa
kujitolea. Ziara rasmi zilifanyika
kwenda munisipali mbalimbali
kutoa habari kuhusu Chama hiki.
- Mkutano wa ushirikiano uliokuwa
kati ya shina na ofisi ya uratibu ya
TIKA.
Shina la Green Crescent la Nigeria
– Mpango wa Green Crescent wa
Ukuzaji wa Afya.
• Shina la Green Crescent la Nigeria
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Utumiaji pombe ndio ulevi wa
hatari zaidi nchini Nigeria.
· Shughuli za shina la Green
Crescent nchini Nigeria ni pamoja
na:
- Warsha kuhusu kinga dhidi ya ulevi
jijini Lagos.
- Maandalizi ya Warsha za Kimataifa
za Kukinga dhidi ya Ulevi.
Shina la Niger Green Crescent -
Croissant Vert Nigérien
• Shina la Green Crescent la Niger
lilianzishwa mwaka wa 2016.
• Utumiaji madawa ya kulevya ni
mojawapo ya ulevi wa hatari zaidi
nchini Niger.
· Shughuli za shina la Green
Crescent la Niger ni pamoja na:
- Kutoa mafunzo kwa wanachama
30 walio chini ya mradi wa “Chama
cha Afya”.
54