

Maelfu ya wapanda baiskeli kutoka nchini kote Uturuki washiriki katika ziara ya uendeshaji baiskeli
unaoandaliwa kila mwaka na shirika la Green Crescent ili kuhamasisha watu kuhusu faida zake za hali ya
kiafya. Uendeshaji wa baiskeli huo jumbe zinazohamasisha mapambano dhidiya uraibu/utumiaji wa dawa
za kulevya husambazwa zikapita mipaka ya Uturuki na kufanyiwa pia Kyrgyzstan na Kosovo mwaka huu.
K
wa kushiriki katika shughuli zinazolenga kuhamasisha
watu kuhusu mapambano dhidi ya dawa za kulevya,
shirika la Green Crescent liliweka wazi faida za kuishi
katika mfumo wa maisha ya kiafya kwa kujiunga na maelfu
ya wapanda baiskeli kutoka mikoa hamsini nchiniUturuki,
Kosovo na Kyrgyzstan, kwa mzunguko wa kuendesha
baikeli ambao umekuwa desturi sasa..Upande wa ziara
ya uendeshaji baiskeli wa Istanbul ulioandaliwa kwa
kushirikiana na Shirika la Wapanda baiskeli, ulifanywa na
washiriki 3,500 katika umbali wa kilo mita 17 uliosababisha
kufungwa kwa barabara katika peninsula ya kihistoria.
Washindani wengi wadogo kwa wakubwa walishiriki
tukio hili kuanzia katika kioski ya Basketmakers kama
makao makuu ya shirika la Green Crescent. Wakaazi wa
Istanbul,wadogo kwa wakubwa walitoa hotuba kuhusu
uelewa wao kupambana na uraibu. Makamu wa mkuu
wa Chama cha Haki na Maendeleo Instanbul Bw. Ravza
Kavakçı pia alijiunga na tukio la Istanbul kuunga mkono
mapambano yaGreen Crescent.
MAELFU YA WAPANDA BAISKELI
WAENDESHA BAISKELI KUPAMBANA
DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
58