

shughuli zinazolenga kuilinda jamii,
kuzuia uraibu wa madawa ya kulevya
na kuongeza mwamko kwa umma.
Prof Mücahit Öztürk aliwashukuru
washiriki kwa kazi zao, akaendelea
kusema; “Tangu miaka ya 2000,
sherehe muhimu na majukumu
mengine
yameongezwa
kwenye
desturi za Green Crescent zilizopo.
Pamoja na wafanyakazi wake wa
kujitolea wenye ustadi mkubwa,
uwazi na ungavu, Green Crescent
imepata muundo wa kitaasisi na
uelewa, ambao hutumika kama mfano
wa kuigwa na Mashirika yasiyo ya
Kiserikali. Tunafurahi kuwa pamoja
katika mojawapo ya miradi yetu ya
kimataifa. Tutakuwa tukihudhuria
sherehe ya tuzo ya Mashindano ya
tatu ya Green Crescent. Tunapenda
kuwashukuru wasanii wa uchoraji
414 ambao walielezea suala kubwa
la mapambano dhidi ya madawa ya
kulevya kwa kutumia lugha shirikishi
ya kichekesho/komedia na ujumbe
wa pamoja kwa kupendeza kwao, na
kila kazi zozote muhimu za sanaa
walizotupa. Sasa ni wao ni wafanyaji
kazi wetu Green Crescent wa kujitolea.”
“Wachoraji Katuni Waongeza
thamani katika kazi yetu”
Akisisitizakwambamadawayakulevya
ni shida kubwa ambayo inawatishia
vijana kote duniani, kwa kuwazuia
kujiingiza katika maisha yenye tija,
MenejaMkuuwa JimboKuu la Crescent
Sultan Işık aliendelea kusema: “Tuko
tayari katika nchi 52 na kubadilishana
uzoefu wetu na Mashirika yasiyo ya
Kiserikali mengine. Tumeweza kuwa
katika mstari wa mbele uwanjani
na kazi zetu za ufanisi duniani na
miradi ya mfano. Katika mapambano
haya, tunaongezea shughuli zetu
ili kuivuta umma juu ya suala hili
muhimu na kukuza uhamasishaji.
Tumewaleta
wachoraji
katuni
wapendwa wengi kutoka kote duniani
kwenye mapambano yetu dhidi
uraibu wa madawa ya kulevya kupitia
Mashindano ya Kimataifa ya Green
Crescent ya Katuni. Mtazamo uraibu
wa madawa ya kulevya miongoni
wachoraji katuni, ambao wana nguvu
ya kuishawishi jamii, na haswa vijana,
unaongeza thamani katika harakati
zetu na njia ya kichekesho. “Sultan
Işık aliwashukuru wachoraji wa katuni
wote ambao wamejiunga na katika
mashindano ya kuchukua jukumu
katika mapambano dhidi ya madawa
ya kulevya.
Jopo liliundwa na Prof. Peyami
Çelikcan, Mwenyekiti wa Kamati ya
Sayansi ya Green Crescent; Metin
Peker, Mwenyekiti wa Chama cha
Wachoraji Katuni; Wachoraji katuni;
Şevket Yalaz na Özcan Çalışkan; na
mshindi wa tuzo ya mchoraji katuni
mgeni wa mwaka jana Borislav
Stankovic. Mshindi wa mashindano
haya alipewa lira 15,000 na washindani
watano walipata lira 3,500.
We are glad to have come
together for one of our
international projects.
We shall be attending the
award ceremony of the
3rd International Green
Crescent Cartoon Contest.
We would like to thank the
414 artists who described
the serious issue of the
fight against addiction
using humorous language
and universal messages
for their great interest, and
each of the valuable works
of art they conveyed to us.
They are now our Green
Crescent Volunteers.
Aşkın Ayrancıoğlu - Uturuki
Satılmış Akın - Uturuki
A
m
i
r
K
h
a
l
e
g
h
i
-
I
r
a
n
61