

GREEN CRESCENT YAWAPA
TUZO WALE WANAOPAMBANA NA
URAIBU WA MADAWA YA KULEVYA
S
herehe ya 5 ya zawadi/tuzo ya
kifahari ya Phoenix iliandaliwa
na Green Cresent na kuhudhuliwa na
rais Recep Tayyip Erdoğan. Zawadi
zilitolewa katika kategoria 6, kitaifa
na kimataifa yaani; siasa, sanaa,
michezo, kitaluuma, uwajibikaji wa
kijamii na vyombo vya habari. Vile vile,
kwa watu na mashirika yanayosaidia
katika mapambano dhidi ya uraibu wa
madawa ya kulevya kitaifa, watu kama
vile mchezaji wa kimataifa wa mpira
wa kikapu Bobby Dixon Ali Muhammed
na katika elimu Prof. Marc Potenza pia
alipewa zawadi.. Sherehe ya tano ya
tuzo yakifahari ya Phoenix ya kutoa
zawadi alifanyika katika ukumbi
wa Cemal Reşit Rey tarehe 20 Aprili
mwaka wa 2018 na kuhudhuliwa na
watu wengi wakiwemo viongozi wa
siasa, wafanya kazi wa umma, wasanii
n.k.
Green Crescent waiwakilisha
kifahari nchi yetu
Katika hotuba yake kwenye sherehe,
rais Recep Tayyip Erdoğan alisema
kwamba alifurahi sana kuwa pamoja
na wafanya kazi wa Green Crescent
wakujitolea kwa sherehe ya kutoa
zawadi. Alimshukuru sana rais wa
Green Crescent, Prof. Mücahit Öztürk
naBodi yawaanzilishi na kuwashukuru
wanachama wote wa Green Crescent
ambao wamekuwa wakifanya kwa
bidii kukuza kizazi chenye afya njema
tangu mwaka wa 1920. Akitambua
kwamba Green Crescent wamejijengea
umaarufu
nchini
Uturuki
kwa
sababu ya mafanikio yao, lakini pia
wamesaidia wenzao katika nchi nyingi
na mawaidha pamoja na uzoefu, rais
Erdogan alisema kwamba, “Nchi ya
Uturuki inashiriki kumbukumbu ya
karne moja ya mapambano dhidi ya
uraibu wa madawa ya kulevya na tabia
mbaya pamoja na ndugu na marafiki
zetu. Shirika la Green Crescent
hotoa huduma, miradi na shughili
za thamani nyumbani na ughaibuni.
Nawatakia mafanikio hasa kwenye
ushirikiano wenu wa kimataifa na
kuamini kwamba mtaiwakilisha nchi
yetu duniani kote. Natumai kwamba
zawadi za mara kifahari za 5 ya
Phoenix zitakuwa za faida kubwa kwa
nchi ya Uturuki na watu wake katika
mapambano yao dhidi ya uraibu wa
madawayakulevya. Hongereniwasanii
wetu, waandishi wa habari, wana
taaluma, wanariadha na wanasiasa
ambao wamekubali tuzo/ zawadi
zinazopewa kutokana na mchakato wa
makini wa uchaguzi. Tuzo za Phoenix
za Green Crescent bila shaka ni za
muhimu sana kwa washindi, ingawa
zinakuja pia na uwajibikaji na jukumu.
Kukubali tuzo hili ni kujitolea kwa
zoezi la maisha yako yote duniani.
Ninatumaini kwamba kila mmoja wa
ndugu zangu hapa atajitwika cheo hiki
kwa heshima na fahari lakini pia na
uwajibikaji katika kazi zao na maisha
yenu ya kibinafsi.
Green Crescent waendelea kuwazawadi watu, asasi na mashirika yanayosaidia katika mapambano dhidhi ya
uraibu kitaifa na kimataifa. Katika mkutadha huu, zawadi ya kifahari ya Phoenix ya mara ya 5 yalifanywa
chini ya ufadhiri wa Ofisi ya rais na ushiriki wa rais Recep Tayyip Erdoğan. Recep Tayyip Erdoğan.
62