

Yeşilay’dan
Bağımlılıkla
Mücadelede
Eğitim Seferberliği
Green Crescent huandaa watoto na vijana kwa maisha kupitia mipango mbalimbali katika uwanja wa
elimu. Chini ya Mpango wa Green Crescent wa Stadi za Maisha pamoja na Mpango wa Uingiliaji kati
kuhusu Suala la Ulevi wa Madawa katika Shule (OBM), Green Crescent inafanya shughuli za kukuza
ujuzi kwa watoto na vijana kwa lengo la kuwasaidia kuepa ulevi ili wawe na maisha yenye afya.
G
reen Crescent hupanga mipango
na shughuli tofauti zinazolenga
kuwalinda vijana na watoto dhidi ya
uleviwamadawa, nakuboreshastadi
zao za maisha. Mpango wa Green
Crescent wa Mafunzo ya Stadi za
Maisha unahusisha shughuli zenye
msingi wa shule, matokeo na stadi
ambazo zinawawezesha vijana na
kuwasaidia kupata stadi muhimu za
kujikinga dhidi ya ulevi wa madawa.
Pia mpango huo unachukua hatua
muhimu kutekeleza uingiliaji kati
kuhusu suala la ulevi wa madawa
katika Mpango wa Mafunzo ya Shule
(OBM), ambao unasaidia kupitishia
majibu madhubuti kwa wale walio
kwenye hatari kubwa ya ulevi wa
madawa, pamoja na ufuatiliaji wa
kawaida.
Mpango kuhusu Uingiliaji kati
katika Suala la Ulevi wa Madawa
kwenye Shule (OBM)
Mpango kuhusu uingiliaji kati
katika suala la ulevi wa madawa
katika Shule (OBM) ni mpango wa
kuongezea kwenye Mpango wa
Mafunzo ya Kuzuia Ulevi wa Madawa
nchini Uturuki (TBM), mkiwemo
juhudi za uzuiaji zisizo za msingi
katika mapambano dhidi ya ulevi wa
GREEN CRESCENT INATAYARISHA
WATOTO NA VIJANA KWA AJILI YA
MAPAMBANO DHIDI YA ULEVI WA
MADAWA
22