Background Image
Previous Page  28 / 68 Next Page
Information
Show Menu
Previous Page 28 / 68 Next Page
Page Background

SHIRIKA LA GREEN CRESCENT

LAENDELEA KUWA MFANO WA

KUIGWA

B

aada ya kuhudhuria Kikao cha 62

cha Tume ya Dawa za Kulevya za

Nakotoki kilichofanyika katika Makao

makuu ya Umoja wa Mataifa nchini

Vienna, Austria, shirika la Green

Crescent linaendelea kuwa mfano wa

kuigwa duniani katika mapambano

dhidi ya uraibu wa dawa za kulevya

kwa kuzingatia uzoefu na kazi zake. .

Kwa sababu ya kuwa na mchango

katika mapambano ya uraibu duniani,

Green Crescent walihudhuria Kikao

cha 62 cha Tume ya Dawa za kulevya za

Nakotiki kilichofanyika katika Makao

makuu ya Umoja wa Mataifa huko

Vienna Australia. Shirika la Green

Crescent linaendelea kuwa mfano wa

kuigwa duniani katika mapambano

dhidi ya uraibu na ulevi kwa kuzingatia

uzoefu na kazi zake. Katika wasilisho

lake,

kwenye

kikao

kilichoitwa

“Tusiache

mtu

yeyote

nyuma”,

kilichoandaliwa na Green Crescent,

Meneja Mkuu Sultan Işık aliezea jinsi

Green Crescent inavyopambana dhidi

uraibu wa dawa za kulevya nchini

Uturuki.

Mawasilisho zaidi yanayoelezea njia

za kupambana na uraibu yalitolewa

na Gilberto Gerra, ambaye ni Mkuu

wa Kitengo cha Matibabu ya Kinga

na Ukarabati wa Ofisi ya Umoja wa

Mataifa kuhusu Dawa za Kulevya na

uhalifu yaani; UNODC; Dkt. Massimo

Barra, Rais wa Tume ya Kudumu ya

Kimataifa la Msalaba Mwekundu na

Red Crescent; Linda Nisson, Katibu

Mkuu wa Shirikisho la dunia dhidi

ya dawa za kulevya yaani; WFAD; na

Ahmet Muhtar Gün, Mwakilishi wa

Kudumu wa Umoja wa Mataifa huko

Vienna.

“Uraibu si shida tu ya watu

wengine”

Akisisitiza kwamba Green Crescent

ndilo Shirika la kipekee lisilo la

Kiserikali (NGO) linalopambana dhidi

ya ulevi, dutu, tumbaku, kamari na

dawa za kulevya duniani kote kama

kiongoziwamkoa,Işıkalisemakwamba

ulevi hauathiri tu wale ambao tayari ni

waraibu, lakini pia wanajamii wengine

ama moja kwa moja au sio moja kwa

moja. “Kuzipa familia habari dhahiri

na ya kutosha kuhusu uraibu na

matibabu yanayohusiana nayo hutoa

mchango mkubwa kwa kuwaokoa

watu waliokuwa wameathiriwa na

uraibu. Wateja ambao wanahudhuria

vikao vya tiba na familia zao wana

uwezekano mkubwa wa kukaa safi,

kwa kusema, wanaweza kuachana

na matumizi ya dutu kwa muda

mrefu na kuendelea na matibabu. “

Akisisitiza kwamba shirika la Green

Crescent limekuwa likihudhuria mara

Katika mikutano ya mwaka ya iliyohudhuriwa na Green Crescent, ilitambuliwa kuwa njia ya kupambana

na shida ya dawa za kulevya inabadilika. Wakati baadhi ya Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na nchi

zinatetea uundaji wa sera za kupunguza mahitaji na matumizi ya dawa za kulevya, mashirika ya NGO na

nchi nyingine zinasema kwamba katika suala la udhibiti wa dawa za kulevya, kupunguzwa tu kwa athari

zinazohusiana na dawa kulevya ndiko kunakopaswa kushughulikiwa. Katika mikutano ya ndani ya CND,

maoni haya hushughulikiwa mara kwa mara na mashirika yasiyo ya kiserikali. Kupitia mikutano hii, Umoja

wa Mataifa unatambua kozi ya shida ya dawa na mahitaji katika eneo hili. Jukumu linalodhaniwa na

Green Crescent katika misaada ya CND kwa ushirikiano wake na Mashirika yasiyo ya Kiserikali ambayo

yanazingatia kanuni yalizopitisha, na hutumika kama mwongozo katika kutambua hatua zinazopaswa

kuchukuliwa kwa udhibiti wa dawa za kulevya.

26