

Yeşilay’dan
Bağımlılıkla
Mücadelede
Eğitim Seferberliği
B
aada ya kuingizwa katika
utumiaji wa madawa ya kulevya
akiwa angali mdogo, A.E. aliweza
kuachilia mbali uraibu asante sana
Kituo cha Mafunzo na Ushauri wa
GreenCrescent. Hatari kubwa ambayo
A.E alikuwa anakaribia kupata kwa
kusikitishwa na kifo cha bibi yake
mpendwa ilitoka kwa mtu wake wa
karibu naye na mtu aliyemwamini
sana kuliko watu wengine. Mpenzi
wake alimpa madawa ya kulevya
akisema, “hutasikitishwa tena na kifo
cha bibi yako” A.E alikubabali wazo
hilo akiamini kwamba hataathirika
kwa kutumia madawa kwa siku moja
tu lakini maisha yalikuwa mabaya.
Aliokolewa tunaKituochaMafunzona
ushauri cha Green Crescent ambacho
kingeweza kizimaliza shida zake. Kwa
sasa A.E. anayafurahia maisha yake.
“Madawa ya kulevya yaliharibu
maisha yangu”
A.E.
aliwaelezea
wanasaikolojia
wa Kituo cha Mafunzo na Ushauri
cha Green Crescent jinsi madawa
yanavyoweza kuyatawala maisha ya
mtu kwa haraka, “Kutoka ile siku ya
kwanza nilipoitumia nilitawaliwa
nikahisi nionezee dozi kila siku. Hivyo
ndivyo nilivyopoteza maisha yangu
kwa madawa ya kulevya na kuanza
kupata uzorotefu wa tabia. Niliiba
pesa na kadi ya benki kwa wazazi
wangu. Nilianzakulalakatikamajengo
yasiyomalizika na kulala kwa watu
niliokutana nao mara ya kwanza.
Nikiwa na hisia za umaskini, fedheha
namaumivu, nilikuwa nikiiba. Sikuwa
na chaguo bali kufanya umalaya
ili niweze kupata pesa za kununua
madawa ya kulevya”
“Nilipona baada ya kufanyiwa
ukarabati na Kituo cha Mafunzo na
Ushauri cha Green Crescent yaani
(YEDAM)”
Ingawa A.E. alijitahidi kuacha ulevi
wa madawa, hakupata suluhisho.
Kwanza,
alijaribu
kujitibu
kwa
kujifungia ndani ya nyumba na
kutumia madawa asiyopewa na
daktari. Baadaye akaomba usaidizi
kutoka kwa ndugu zake. A.E. alielezea
alivyokiomba kituo cha Mafunzo
na Ushauri cha Green Crescent
kinachotoa huduma za kiakili kwa
watu wanaotawaliwa na madawa
ya kulevya na ndugu zao na kuhusu
huduma
iliyobadilisha
maisha
yake. “Niliomba kujiunga na Kituo
cha Mafunzo na Ushauri cha Green
Crescent na familia yangu. Baada ya
kuchukua hatua hiyo ya kwanza siku
hiyo, sasa nimefanikiwa kumaliza
awamu ya kwanza yamatibabu yangu.
Kwamsaada wa Kituo cha Mafunzo na
Ushauri ya Kijani cha Green Crescent,
nimekuwa binadamu tena. Asante
sana GREEN CRESCENT.”
“ASANTE SANA
GREEN CRESCENT”
Akiwa na ameshtuka kwa
sababu ya kifo cha bibi
yake, A.E alikubali kutumia
madawa ya kulevya
aliyopewa na mpenzi wake
aliyewambia kwamba,
“yatakusaidia kusahau
maumizi ya kufiwa” lakini
maisha yake yakawa ndoto
ya kutisa. A.E ambaye
alipoteza miaka yake minne
ya maisha yake wakati
akitumia madawa ya
kulevya, anayangalia maisha
na msimamo tofauti, asante
sana Kituo cha Mafunzo na
Ushauri.
32