Background Image
Previous Page  40 / 68 Next Page
Information
Show Menu
Previous Page 40 / 68 Next Page
Page Background

MAPAMBANO YA PAMOJA DHIDI YA

ULEVI WA DUTU KATIKA NCHI ZA ULAYA

K

ituo cha Usimamizi wa dawa za

kulevya na uraibu wa madawa

cha Ulaya kilianzishwa mwaka 2010

ili kukusanya data kuhusu ulevi wa

madawa kupitia uchunguzi wa maji

taka ya manispaa, wakati mradi wa

ugunduzi wa dawa za kulevya kupitia

uchambuzi wa maji taka ya manispaa

ulianza kutekelezwa nchini Uturuki,

kufuatilia mwamko wa miji mikuu

ya Ulaya mwaka 2019. Kufanywa kwa

ushirikiano na Wizara ya Mambo

ya Ndani kwa ushirikiano na Wizara

za Afya na Haki, mpaka sasa mradi

umetekelezwa katika mikoa 18. Itifaki

ya utiaji saini ilifanyika tarehe 28

Agosti 2019 huko Ankara na ushiriki wa

Waziri Mambo ya Ndani Mh. Süleyman

Soylu na Rais wa Green Crescent Prof.

Mücahit Öztürk.

Iliamualiwa

kwamba

mradi

ungetekelezwa chini ya uratibu wa

Green Crescent kwa kushirikiana na

Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya

Haki na Wizara ya Afya kwa kutumia

fedha zilizotolewa na Wizara ya Mambo

ya Ndani chini yaMpangowa utekelezaji

wamapambanodhidiyadawazakulevya

(UMEP) kwa mwaka 2018 hadi 2023.

Mradi ulizinduliwa Januari mwaka

2019 na fezi ya pili tayari imekamilika.

Itifaki

inayofafanua

mfumo

wa

mchango na msaada utakaotolewa na

Wizara ya Mambo ya Ndani ulitiliwa

saini na Waziri wa Mambo ya Ndani

Mh. Süleyman Soylu na Raisi wa Green

Crescent Prof. Mücahit Öztürk. Kwa

kufuata itifaki iliyotiliwa saini, sampuli

za

kazi

zilizokusanywa,

ambazo

zinajumuisha fezi nne, zitafanyiwa

katika mikoa iliyochaguliwa mwishoni

mwa mwaka wa 2019. Sampuli za

Wastewater zinachunguzwa na Taasisi

ya Dawa ya Uchunguzi ya Chuo Kikuu

cha Insanbul na kitengo cha Elimu ya

uraibu wa dawa za kulevya, Chuo Kikuu

cha Çukurova

Mradi wa utambuaji wa

dawa za kulevya kisaikolojia

kupitia uchambuzi wa maji

taka ya manispaa ambao

umetekelezwa katika miji

mikuu mingi katika nchi

za Ulaya, umezinduliwa

pia nchini Uturuki kama

juhudi za pamoja za Wizara

ya Mambo ya Ndani na

Green Crescent. Sherehe ya

uzinduzi wa mradi ilifanyika

huko Ankara kwa ushiriki

wa Waziri wa Mambo ya

Ndani, Mh. Süleyman Soylu

na Rais wa Green Crescent

Prof. Mücahit Öztürk.

38