

Mradi wa Kugundua vifaa vya
kulevya katika Maji machafu
Mradi wa utambulisho wa dawa
za kisaikolojia za kulevya kupitia
uchambuzi wa maji taka ya manispaa
unatekelezwa katika miji 73 katika
nchi 20mkiwemo Uturuki, Usipania na
Denmark. Miji inayohusika ni pamoja
na Madrid, Lisbon, Barcelona, Bristol,
Amsterdam, Berlin, Milan, Paris, Oslo,
Helsinki, Copenhagen, Dortmund,
Munich na Zagreb. Kupitia mfumo wa
kupambananauleviwamadawanchini
Uturuki, mradi huu utasaidia katika
upatikanaji wa data za kitakwimu za
kushawishi ili kuruhusu ulinganishaji
na nchi zingine zinazohusika katika
utafiti huu. Mradi huu pia una
sehemu ya uchambuzi wa mwelekeo
unaohusiana na usambazaji ambamo
data za kitakwimu zitakusanywa ili
kusaidia juhudi za uboreshaji na
udhibiti
Waziri Soylu: Green Crescen
aelezea majukumu yetu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.
Süleyman Soylu alitoa maoni kuhusu
muhimu wa utafiti huu “Tunafurahi
kuwa tunasaini itifaki na Green
Crescent, ikiwa asasi muhimu kwa
nchi yetu na historia yetu katika
harakati zake za kupambana na
vita ulevi wa madawa ambalo ni
jambo kuu linalomkumba binadamu
nchiniUturuki na dunia nzima..
Tunafuraha kwa sababu mbili. Sababu
ya kwanza; tutakuwa na uwezo
kuchukuwa hatua kuwa washawishi
wakuu katika utumiaji na uhakiki
wa data na kuunda sera zinazofaa
katika mapambano ya ya ulevi wa
madawa. Sababu nyingine ni kwamba
tunaonyesha uwezo wetu kutimiza hili
kupitia mashirika yasiyo ya serikali
ambalo ni la umuhimu sana nchini
Uturuki. Kwa upandemwingine, Uwezo
wetu wa kugawanya majukumu na
kuandaa, kufuata na kugawa data kwa
uundaji wa sera pamoja. Awali ya yote,
ningependa kushukuru jamii ya Green
Crescent hasa, Rais Prof. Mücahit
Öztürk , kwa kuchukua majukumu
haya na kwa kushiriki katika katika
shughuli hii.
Prof. Öztürk:Tunaweza kufanya
mambo yenye thamani kwa
kutumia data za kisayansi
Baada ya itifaki kutiliwa saini,
Mwenyekiti wa Green Crescent Prof.
Mücahit Öztürk alisema kwamba wao
wanajitahidi ili kuwe na jamii yenye
afya njema isiyo na tatizo la ulevi wa
dawa. “Tunaweza kufanya vitu vya
thamani ila tu kwa kutumia data
za kisayansi. Kama Green Crescent
tutafaidika kutokana na matokeo ya
utafiti kwa vile yanatusaidia kujua
tunachopambana nacho, wapi tuweke
mkazo kabla ya kubaini mbinu na
mahali pa kufanyia kazi. Tutaweza
kuwa dhahiri sana kuhusu kile
tunachofanya.
Ujumbe
unaoingia
utatusaidia
katika
kutoa
picha
kamili ya uraibu wa dawa za kulevya
nchini Uturuki ambao utaamua jinsi
tunavyopigana na kutuongezea nguvu
pia. Shirika la Green Crescent hutoa
hoja zake bila woga wowote katika
mikutano wanayoihudhuria na mbele
ya Umoja wa Mataifa kwamba inafaa
kuchukuwaaina zote zauraibunadawa
za kulevya sawa. Pia, Jamii za Green
Crescent hutupa msaada mkubwa
katika shughuli za utetezi katika nchi
yetu na katika jamii ya kimataifa.
Hiki ni chanzo chetu muhimu sana
cha kujivunia. Tunaamini ya kwamba
kiwango cha ushirikiano kati ya
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs)
na umma utaoneshwa, ukisababisha
mradi huu kuwa wa faida sana. Pia,
ningetaka kumshukuru Waziri wetu
na kila mtu ambaye amechangia kwa
namna moja au nyingine kwa mradi
huu.”
Mradi wa Kugundua
vifaa vya kulevya katika
Maji machafu unalenga
kukusanya data za
kisayansi na takwimu za
kutumiwa katika vita dhidi
ya ulevi kupitia udadisi
wa maji machafu. Kama
zoezi mojawapo katika
kupambana na ulevi,
ulinganishaji wa nchi
mbalimbali, udadisi wa
uingizaji vifaa vya kulevya,
na tafiti za kutoa kinga na
za kimaendeleo zitafanyika
kwa kutegemea data za
kisayansi zilizopatikana.
39