

madawa. Mpango huo umeandaliwa
kama njia ya uzuiaji na kujibu isiyo
ya msingi, inayolenga wanafunzi
ambao wako kwenye hatua ya
kujaribu / kutumia sigara, pombe au
madawa.
Mpango huo umekusudiwa kuwapa
washauri
shuleni
uwezo
wa
kitaalam na kiufundi ili kuwasaidia
kutambua
wanafunzi
ambao
huenda wamejaribu / wametumia
sigara, pombe au madawa, kusaidia
katika ukadiriaji sahihi wa kiwango
cha hatari, na kusaidia katika
utekelezaji wa majibu yanayofaa
pamoja na ufuatiliaji wa kawaida.
Chini ya Mpango kuhusu uingiliaji
kati katika suala la ulevi wa
madawa
katika
Shule
(OBM),
ambao ulitoa matokeo mazuri
baada
ya
kutekelezwa
kama
mradi wa majaribio, watekelezaji
232 walipata mafunzo mwezi wa
Februari kulingana na makubaliano
yaliyohitimishwa
pamoja
na
Wizara ya Elimu ya Kitaifa. Jumla
ya mahojiano 3,086 yalifanywa na
walimu wa utekelezaji wakiwahoji
wanafunzi 1,233 kati ya Februari
na Juni 2019. Wakati baadhi ya
wanafunzi hao wameacha sigara,
kunywa pombe na kutumia madawa
ya kulevya, wengine bado wapo
kwenye mahojiano na mchakato wa
ufuatiliaji.
Mpango wa Green Crescent wa
Mafunzo ya Stadi za Maisha
Mpango wa Green Crescent wa
Mafunzo ya Stadi za Maisha
unahusisha shughuli kwa msingi
wa shule, matokeo na stadi ambao
unawawezesha vijana na kuwasaidia
kupata stadi zinazohitajika za
kujikinga dhidi ya utumiaji wa
madawa ya kulevya. Wakati ukiwa
na maudhui anuwai, mpango huo
unakuza tabia chanya na yenye
kubadilika kwa kuwasaidia watoto
kupata
stadi
wa
kisaikolojia
na
kijamii
ambazo
zinaweza
kupunguza hatari na kuongeza
sababu za kinga. Malengo makuu
ya mpango huo ni kuzuia ulevi
wa madawa, kuchelewesha umri
ambapo watoto na vijana wanaanza
kujaribu / kutumiwa madawa,
kupunguza mambo yanayoweza
kuleta hatari ya utumiaji wa
madawa na kuimarisha mambo ya
kinga. Mpango wa Green Crescent
wa Mafunzo ya Stadi za Maisha
uliandaliwa kwa ajili ya wanafunzi
wa darasa la 7, na unajumuisha pia
kuimarisha shughuli kwa wanafunzi
wa darasa la 8. Kuanzia Septemba,
kozi za Mpango wa Mafunzo ya Stadi
wa Maisha zitatolewa kama mradi
wa majaribio na kisha kusambazwa
katika shule.
Mpango huo unakusudia kuweka
mazingira
ambapo
wanafunzi
wanaweza kukutana ili kujifunza
kutokana na mitazamo na uzoefu
wa wenzao. Wakati wa mpango,
wanafunzi
wanajifunza
kwa
kuangalia, kuongea na, kuingiliana
na kubadilishana mawazo. Wakati
ukiungwa mkono na michezo ya
kimafunzo na shughuli za kidrama,
mpango huo una masimulizi kuhusu
shida za hali ambazo kundi lengwa
linaweza likakabiliana nazo katika
maisha halisi.
Mpango huo umeandaliwa
kama njia ya uzuiaji na
kujibu isiyo ya msingi,
inayolenga wanafunzi
ambao wako kwenye
hatua ya kujaribu /
kutumia sigara, pombe au
madawa.
23